Jamani hapa ndio tupo darasani, darasa limekolea kweli kweli, aliyesimama Mr Peik, mwenye nguo ya Orange ni Nancy Mwendamseke, yeye ni Head wa Department ya Mass Communication, Tumaini University hapa Dar es Salaam, mwenye nguo ya Kijani ni mimi mwenyewe Ratifa Baranyikwa.
2 comments:
oyaa! mambo yako vipi? Unajikumbushia mambo ya Peik au ndo ushasahau? Mi ninayakumbuka ila sometimes muda unabana na hapa kwetu 'net' za uzushi uzushi, ila poa.
Unaniambiaje kuhusu sakata la walimu na serikali? Iko fair au mizinguo.
By ABRAHAM
HI!,
AMA KWELI WE NI MVIVU SANA WA KUFUNGUA BLOG, NIMEKUCHEKI, NI KARAIZE ISHU, LAKINI DU! BATI LA NGUVU MTU WANGU, EMBU NI TEL MASITUATION HUKO, NIAJE?
Post a Comment